Kufanya Mapenzi Ndani Ya Gari - Hadithi Fupi Ya Mapenzi
"Anatabasamu anapofikiria kuhusu wakati walipoendesha gari kwenda msituni. Aliegesha gari kwenye barabara ndogo yenye vumbi kando ya msitu. Zamani wakati kulikuwa na joto walilazimika kufungua madirisha ili kutulia. Zamani wakati harufu ya nyasi iliyojaa umande na wimbo wa ndege uliwatumbuiza wakiwa ndani ya gari. Zamani wakati alitoa sauti za upeo wa raha ya kujamiiana, na kufanya ndege kuwa kimya."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kumbukumbu Zako, Hamu ya Kumpata Owen Gray na Erika Lust, Kula Nami na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake
15 pages
Other (sw) edition · First published 2019 by Lindhardt og Ringhof · ISBN 9788726216608
Be the first to rate this book
Keep track of what you read
Book Nook is a free reading tracker with a 3D bookshelf, a reading timer, challenges with friends and a Reading Wrapped at the end of the year. Add Kufanya Mapenzi Ndani Ya Gari - Hadithi Fupi Ya Mapenzi to your shelf in one tap.