Book Nook Join Book Nook

Kula Pamoja Nami - Hadithi Fupi Ya Mapenzi

Sarah Skov

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba. Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu. Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba. Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa."

Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi. Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo. Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu. Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake. Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake. Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza...

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki. Sara Skovi ni jina bandia la mwandishi mdogo mwanamke. Pia ameandika hadithi fupi za mapenzi Shauku ya Owen Grey, Mapenzi ya kwenye Gari, Kumbukumbu zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanaume.

GenresFictionEroticaRomanceContemporary

15 pages

Other (sw) edition · First published 2019 by Lindhardt og Ringhof · ISBN 9788726270747

Be the first to rate this book

Tap or drag across the stars

Keep track of what you read

Book Nook is a free reading tracker with a 3D bookshelf, a reading timer, challenges with friends and a Reading Wrapped at the end of the year. Add Kula Pamoja Nami - Hadithi Fupi Ya Mapenzi to your shelf in one tap.

Join Book Nook Get the app